Kulinda Wanyamapori Mchana na Usiku
Wakati wa mapambazuko wakati sehemu kubwa dunia wakiwa wamelala, kundi la watu lililojitolea linaingia kazini. Ni saa 11:30 asubuhi na maskari wetu wa Idara ya uzuiaji ujangili wanajitayarisha kwa ajili ya ratiba yao ya kila siku ya mazoezi ya viungo. Ratiba yao si ya watu