Msaada Wako

Grumeti Fund  hutegemea ukarimu wa wafadhili kuweza kutekeleza shughuli za uhifadhi na programu za maendeleo ya jamii za magharibi mwa Serengeti.

Mchango wako utasaidia kuimarisha ulinzi endelevu wa ikolojia hii muhimu na kuboresha maendeleo ya jamii za pembezoni mwa mapori haya.

Grumeti Fund, kupitia Shirika la Uhifadhi na Maendelo ya Jamii za Afrika (ACCF), ambao ni mfuko usiokuwa wa faida huko Marekani iliyotolewa kwenye Shirikisho ya Kodi ya Mapato chini ya kifungu 501(c) (3) cha mapato ya ndani cha 1986, kama kilivyotekelezwa. Michango kwa Shirika la Uhifadhi na Jamii za Kiafrika, Inc. inakatwa kwa kiwango kikuu kitolewacho na sheria. Wachangiaji watatakiwa kuzungumza na washauri wao wa masuala ya kodi.

Changia

                  

Tafadhali tambua kuwa unahamishwa kwenda kwenye kurasa ya Shirika la Uhifadhi na Jamii za Kiafrika, Inc.

Nchini Marekani, Grumeti Fund ni mradi unaosaidiwa-kifedha na Shirika la Uhifadhi na jamii za Kiafrika, Inc. (“ACCF”), shirika la kimsaada 501(c) (3). Michango yenye kutozwa kodi kwa ACCF hutolowa kwa Grumeti Fund kusaidia kazi yetu.

Bonyeza hapa kuchangia