Pindi sehemu nyingi ulimwenguni zikiendelea kuharibika kutokana na ongezeko kubwa la watu, Mfuko wa Grumeti kwa kushirikiana na washirika wetu wa Tanzania inajizatiti katika kuhifadhi ekari 350,000 za eneo la Magharibi mwa Serengeti zilizopuuzwa hapo awali. Kupitia usimamizi dhabiti wa uhifadhi, kushirikiana na jamii, ubunifu wa teknolojia na kutumia askari mahiri tunaleta mabadiliko chanya na matokeo endelevu ya uhifadhi.
Soma Zaidi kuhusu kazi zetu za siku-hadi-siku, mafanikio yetu na makusudio yetu ya muda mrefu.