Tafakari: Mwaka wa mafanikio wa Grumeti Fund
Vuta picha hii: mtoto wa tembo akiungana na mama yake baada ya kuvumilia siku nyingi akiwa na mtego wa waya shingoni mwake, msichana akipambania kutimiza ndoto zake bila vikwazo vya hedhi, na mabadiliko ya mfumo wa ikolojia ambao awali ulikuwa wazi na sasa wanyamapori wanastawi.