Dondoo

Ng’ombe kwa Uhifadhi

Vipi kama Ng’ombe wa maziwa huweza kubadilisha maisha? Hiki ndicho kinachotokea kwenye vijiji 21 vinavyopakana na mapori yetu ya akiba ya Ikorongo – Grumeti. Kupitia mradi wetu wa ng’ombe bora wa maziwa ulioko chini ya programu ya Climate-Resilience and Improvement Program (CLIP) sio tu tunalinda

Kuimarisha Jitihada Zetu dhidi ya Ujangili

Mitego ya nyaya na vikundi vikubwa vya biashara ya nyamapori vinabaki kuwa tishio kwenye juhudi zetu za uhifadhi. Vikundi hivi vya biashara haramu sio tu husambaza nyamapori ndani ya maeneo ya hapa karibu lakini pia huuza nje ya mipana, hivyo kuweka shinikizo kubwa kwa wanyama

Tukiangalia Mwaka 2024: Asante kwa Mchango Wenu

Tunapofunga ukurasa wa mwaka 2024, tungependa kuchukua fursa hii kutoa shukrani zetu za dhati kwa kila mmoja wenu aliyetuunga mkono mwaka huu. Mchango wenu umeleta mabadiliko makubwa, ukituwezesha kulinda wanyamapori, kuinua jamii, na kuchukua hatua kuelekea mustakabali endelevu. Pia tunatoa shukrani zetu za dhati kwa washirika

Kusherehekea Uwezeshaji wa Wanawake na Wasichana

Mbio za Serengeti Girls Run za mwaka huu zilikuwa na maonesho ya  kipekee, ambapo wasichana 70 waliokuwa na ari kutoka jamii zinazozunguka Eneo la mapori ya akiba ya Grumeti walihudhuria. Tukio hili lililenga kuwapa fursa wasichana hawa  kuangazia  na kujifunza fursa mbalimbali za kazi na

Mtazamo wa Anga wa Uhifadhi katika eneo la Grumeti

Katika Grumeti, dhamira yetu ya kulinda wanyamapori huenda zaidi ya  nyanda  za Serengeti Magharibi, ambapo tunaendelea kufuatilia idadi ya wanyama ili kuhakikisha mfumo wa ikolojia unakuwa na usawa. Mojawapo ya njia bora za kutathmini idadi ya wanyamapori ni kupitia sensa ya wanyamapori kwa kutumia  ndege,

Safari ya Mafanikio

Rashidi Nyarata, mkazi wa jamii inayozunguka eneo la hifadhi la Grumeti, ana hadithi ya kipekee ya uvumilivu na mabadiliko. Kabla ya mwaka 2019, maisha ya Rashidi yaligubikwa na changamoto. Akipambana na ulevi na kushindwa kupata kipato cha kutosha, mustakabali wake haukuwa na uhakika. Hata hivyo,

Miguu kwenye Doria: Kitengo cha Mbwa Kazini

Ndani ya mwezi uliopita kitengo chetu cha mbwa kimekuwa kikifanya kazi kwa bidii kwa ushirikiano na Kikundi cha Operesheni Maalum (SOG) na washirika wetu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ili kulinda wanyamapori ndani ya mapori  yetu ya akiba. Mwezi huu umeonekana kuongezeka

Kutafakari Miaka Mitano ya Women in the Field

Katika Siku hii ya Kimataifa ya Wanawake tunafuraha kusherehekea sio tu mafanikio makubwa ya wanawake duniani kote lakini pia hatua muhimu ya miaka 5 ya mpango wetu wa Women in the Field (WIF). Tulipozindua mpango wa Women in Field (WIF) mwaka 2019, tulilenga kukuza taaluma

Kuwawezesha Walinzi wa Wanyamapori

Askari wetu waliojitolea kupambana na ujangili walipitia programu ya kuboresha ujuzi wao mwezi Januari. Chini ya uelekezi wa Simon Leaks kutoka Big 5 Protection, mafunzo haya maalum ya ujuzi wa kufuatilia yalilenga kuinua uwezo wao wa kulinda wanyamapori kwa viwango vya juu. Simon alisisitiza jukumu muhimu

Kustawi Zaidi ya Biashara na Programu ya RED ya Grumeti Fund

“Nilikuwa nikifikiri elimu hukoma baada ya shule, lakini sasa nafahamu ni safari ya maisha yote” analisema akiwa na shauku ya hekima mpya. Hata wazee kama sisi wanaweza kuendelea kujifunza na kukua. Mpango huu uliniongeza ubunifu na ujuzi wangu wa kufikiri - ni zaidi ya biashara

                  

Tafadhali tambua kuwa unahamishwa kwenda kwenye kurasa ya Shirika la Uhifadhi na Jamii za Kiafrika, Inc.

Nchini Marekani, Grumeti Fund ni mradi unaosaidiwa-kifedha na Shirika la Uhifadhi na jamii za Kiafrika, Inc. (“ACCF”), shirika la kimsaada 501(c) (3). Michango yenye kutozwa kodi kwa ACCF hutolowa kwa Grumeti Fund kusaidia kazi yetu.

Bonyeza hapa kuchangia