Machapisho ya Kisayansi

Miundo ya matumizi ya mazao mikakati ya uchaguzi wa rasilimali na tembo wa Afrika katika mazingira yanayotawaliwa na binadamu

Waandishi: Nathan R. Hahn, Jake Wall, Kristen Deninger-Snyder, Kate Tiedeman, Wilson Sairowua, Marc Goss, Stephan Ndambuki, Ernest Eblate, Noel Mbise, George Wittemyer Muhtasari Ili kuhifadhi spishi mbalimbali katika mandhari iliyoharibika, ni muhimu kuelewa jinsi tabia ya wanyama inavyobadilika kulingana na kiwango na muundo wa urekebishaji.

Mnyumbuliko wa visababishi katika uharibifu unaosababishwa na wanyamapori unahitaji mikakati mahusus  kwa kila spishi ili kuipunguza katika Magharibi mwa Serengeti, Tanzania.

Waandishi Kristen Denninger Snyder Kate M. Tiedeman Brendan J. Barrett Mackiana Kibwe Robert J. Hijmans George Wittemeyer Muhtasari Katika maeneo yanayotegemea kilimo ambayo yamechanganyika na maeneo ya porini, uharibifu wa mazao na kuuwawa kwa mifugo kunakosababishwa na wanyamapori unatishia maisha ya vijijini na kudhoofisha juhudi za uhifadhi. Kujua spishi, shughuli za kibinadamu, na

Seasonal and spatial vulnerability to agricultural damage by elephants in the western Serengeti, Tanzania

Abstract: In the western Serengeti of Tanzania, African elephant Loxodonta africana populations are increasing, which is rare across the species’ range. Here, conservation objectives come into conflict with competing interests such as agriculture. Elephants regularly damage crops, which threatens livelihoods and undermines local support for conservation.

                  

Tafadhali tambua kuwa unahamishwa kwenda kwenye kurasa ya Shirika la Uhifadhi na Jamii za Kiafrika, Inc.

Nchini Marekani, Grumeti Fund ni mradi unaosaidiwa-kifedha na Shirika la Uhifadhi na jamii za Kiafrika, Inc. (“ACCF”), shirika la kimsaada 501(c) (3). Michango yenye kutozwa kodi kwa ACCF hutolowa kwa Grumeti Fund kusaidia kazi yetu.

Bonyeza hapa kuchangia