Tafiti na ubunifu kwa ajili ya ikolojia ya serengeti
Programu na kituo cha tafiti cha Mfuko wa Grumeti, RISE (Research and Innovation for the Serengeti Ecosystem) inakusudia kuwezesha watafiti na wanasayansi kutafuta suluhu za changamoto zinazokabili ikolojia ya Serengeti.