Grumeti Fund hutegemea ukarimu wa wafadhili kuweza kutekeleza shughuli za uhifadhi na programu za maendeleo ya jamii za magharibi mwa Serengeti.
Mchango wako utasaidia kuimarisha ulinzi endelevu wa ikolojia hii muhimu na kuboresha maendeleo ya jamii za pembezoni mwa mapori haya.
Grumeti Fund, kupitia Shirika la Uhifadhi na Maendelo ya Jamii za Afrika (ACCF), ambao ni mfuko usiokuwa wa faida huko Marekani iliyotolewa kwenye Shirikisho ya Kodi ya Mapato chini ya kifungu 501(c) (3) cha mapato ya ndani cha 1986, kama kilivyotekelezwa. Michango kwa Shirika la Uhifadhi na Jamii za Kiafrika, Inc. inakatwa kwa kiwango kikuu kitolewacho na sheria. Wachangiaji watatakiwa kuzungumza na washauri wao wa masuala ya kodi.