Tukio la Kuwawezesha Watoto wa Kike na Mfuko wa Grumeti Semina ya Mfuko wa Grumeti ya Kuwawezesha mabinti
Mfuko wa Grumeti uliweza kuwafikia mabinti Zaidi ya 1,500 kwenye semina ya uwezeshaji. Mada mbalimbali kama vile ya usawa wa kijinsia, ujasiri, elimu na na afya ya uzazi zilizungumziwa. Mwisho kila binti alipatiwa taulo ya kike yenye kuweza kutumika zaidi ya mwaka. Katika semina hii

