Tukio la Kuwawezesha Watoto wa Kike na Mfuko wa Grumeti Semina ya Mfuko wa Grumeti ya Kuwawezesha mabinti


Mfuko wa Grumeti uliweza kuwafikia mabinti Zaidi ya 1,500 kwenye semina ya uwezeshaji. Mada mbalimbali kama vile ya usawa wa kijinsia, ujasiri, elimu na na afya ya uzazi zilizungumziwa. Mwisho kila binti alipatiwa taulo ya kike yenye kuweza kutumika zaidi ya mwaka. Katika semina hii mgeni mhamasishaji Rebeca Gyumi aliwapatia chachu mabinti wote katika kupambania ndoto zao.

                  

Tafadhali tambua kuwa unahamishwa kwenda kwenye kurasa ya Shirika la Uhifadhi na Jamii za Kiafrika, Inc.

Nchini Marekani, Grumeti Fund ni mradi unaosaidiwa-kifedha na Shirika la Uhifadhi na jamii za Kiafrika, Inc. (“ACCF”), shirika la kimsaada 501(c) (3). Michango yenye kutozwa kodi kwa ACCF hutolowa kwa Grumeti Fund kusaidia kazi yetu.

Bonyeza hapa kuchangia