Kituo cha Elimu ya Mazingira
Shabaha ya Mfuko kwenye elimu huangazia hadi kwenye mazingira na wajibu wa kila mtu kuweza kupunguza madhara kwenye mazingira yetu ulimwenguni. Kwenye Kituo cha Elimu ya Mazingira (EEC), wanafunzi 12 wakiongozwa na mwalimu wao hujifunza mambo muhimu ya kimazingira kama vile ukataji wa misitu, mmomonyoko wa udongo na uhifadhi wa maji ambavyo uathiri kila mmoja.

